Source: Vijimambo
Haitham na Sharifa wakiingia ukumbini kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Oct 11, 2014 jijini Toronto, Canada.
Bwana na bibi harusi wakijiandaa kukata keki.
Bwana na bibi harusi wakikata keki.
Bwana harusi akimlisha keki bibi harusi.
Bwana na bibi harusi katika picha ya pamoja na ndugu,jamaa na marafiki waliohudhuria sherehe ya harusi yao.
Picha ya pamoja.
Source: Vijimambo
No comments :
Post a Comment