dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 25, 2014

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, Azungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Kichama ya Mfenesini Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika viwanja vya Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya ya Mfenesini katika kuimarisha Chama katika wilaya hiyo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Magharibi CCM Mhe.Yussuf Mohammed Yussuf (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mara alipowasili katika Tawi la Chuo cha  Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya ya Mfenesini katika kuimarisha Chama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa Wilaya ya Mfenesini Kichama Mjumbe Msuri wakiwa katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha  Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama kwa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakati wa mkutano wa maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM kwa  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Mfenesini CCM.
Balozi wa Shina namba 36 Jimbola Mtoni Abdul-Aziz Salum akisoma risala ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini  Kichama mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa Mgeni rasmi katika Mkutano  Maalum kwa Viongozi hao akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha  Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Wilaya ya Mfenesini.


 Balozi kutoka Jimbo la Dole Abdalla Juma Abdalla akitoa mchango wake wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  za CCM Wilaya ya Mfenesini uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi.



 Baadhi ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Mfenesini Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi hao katika Ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi  akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM Mikoa ya Unguja.


Balozi kutoka Jimbo la Dole Abdalla Juma Abdalla akitoa mchango wake wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  za CCM Wilaya ya Mfenesini uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi.
(Picha na Ikulu Zanzibar)
Chanzo: ZanziNews

1 comment :