dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, January 26, 2015

Watanzania Washiriki Maonesho ya Sanaa Nchini Oman

Sehemu ya nje ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama  Kivutio cha Watalii na kujifunza ambapo Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman waliutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi.
Wageni na Baadhi ya Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman wakiwa Sehemu ya mbele (Qibla) ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama  Kivutio cha Watalii na kujifunza.Watanzania hao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
Wafanyakazi wa Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan” wakijibu maswali na kutoa ufafanuzi kutoka kwa Watalii mara baada ya kumaliza kutembelea msikiti huo. Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman nao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman

 Wageni na Baadhi ya Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman wakiwa Sehemu ya mbele (Qibla) ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan”. Msikiti huo umefanywa kama  Kivutio cha Watalii na kujifunza.Watanzania hao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi

Wafanyakazi wa Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan” wakijibu maswali na kutoa ufafanuzi kutoka kwa Watalii mara baada ya kumaliza kutembelea msikiti huo. Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa na Utamaduni nchini Oman nao walienda kutembelea Msikiti huo kujifunza zaidi. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman.


No comments :

Post a Comment