dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 28, 2015

Nyumba yateketea na kuua watu tisa Buguruni kwa Malapa

Nyumba hii imeungua juzi usiku, mwenye nyumba amepoteza mke, watoto wanne, mama mkwe na wageni watatu walikuja kumtembelea, Jumla watu 9 



10984474_1301905196490562_5658746228997238516_n
Moto ulianza kuwaka saa 9 vijana wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 Aisha na Ahmed walisimama Mlangoni kuomba Msaada walifungua mlango mbao ukabaki wa Grill ambao walishindwa kuufungua majirani akiwemo Salama Ally Mjumbe wa Malapa wakawaaambia Aisha na Ahmed leteni funguo Aisha na Ahmed wakaleta funguo lakini majirani wakashindwa kufungua kwani geti la Grill lilikua limeshika moto.

Baaada ya jitahidi za kuokoa na kujiokoa kushindikana ndipo watu wote tisa waliopo ndani wakaamua kukaaa chumbani kwa Bibi yao anaeitwa Bim Mdogo na Bim Mdogo akawakumbatia na huo ndo ukawa Mwisho wa uhai wao.

Waliofariki ni:

Samira - Mama mwenye nyumba
Aisha - Mtoto
Ahmed - Mtoto
Abdallah
Ashraph
Bim Mdogo - Bibi
Wadh ha na mwanae walikuja kutembea akiwa na mfanyakazi wake wa kike.

No comments :

Post a Comment