dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 1, 2015

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli Akutana na Mabalozi wa China na Korea Kusini, Pia azungumza na Profesa Lipumba Ikulu leo.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, alipofika Ikulu leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. Profesa Lipumba amempondeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015
Dkt John Magufuli akifurahia jambo wakati akiagana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba Ikulu 
Dar es Salaam leo.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing alipofika Ikulu jijini Dar es salaam leo
  Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Korea ya Kusini  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mke Balozi wa Korea ya Kusini  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Korea ya Kusini  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais kwa kuwa muda wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.
(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment