dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, February 26, 2017

Dk Shein, Akabidhi Vifaa vya Michezo kwa Majimbo ya Unguja Kushiriki Michuano ya Ligi ya Majimbo ya Unguja Yanayotarajiwa Kuaaza terehe 24-3-2017!


Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Vijana Wanamichezo wa kishangilia wakati wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu za Majimbo ya Unguja katika Ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoana wa Mjini Amani Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein . akimkabidhi Seti za Jezi Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Salim Turky na Kiongozi wa Timu hiyo Mohammed Maulid.







No comments :

Post a Comment