dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, February 19, 2018

Daktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo Duniani Atembelea Wizara ya Afya Zanzibar!

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabiti Kombo akimkaribisha Daktari Bingwa wa Maradhi ya Moyo Duniani Dr. Ramakanta Panda, alipofika Zanzibar kwa mazungumzo na Waziri wa Afya Zanzibar kwa mazungumzo.
Daktari bingwa wa maradhi ya moyo Duniani Dr Ramakanta Panda akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati alipotembelea ofisi ya Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.

(Picha na Abdalla Omari Habari Maelezo).

No comments :

Post a Comment