dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, April 19, 2018

MAKUBWA YA HUKO MAKERERE, UGANDA!

KIGOGO WA CHUO KIKUU ASIMAMISHWA KAZI KWA KUMNYONYA SEHEMU ZA SIRI MWANAFUNZI OFISINI


Afisa Utawala Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda Bwana Kisuze Edward amesimamishwa kazi baada ya picha yake akimnyonya mwanafunzi Racheal Njorogi sehemu za siri kusambaa mitandaoni.
Racheal anadai aliwasili chuoni hapo kufuatilia taarifa zake za usajili ambapo alikutana na usumbufu mkubwa na baadaye alipopata nafasi ya kuingia ofisini kwa Msajili, alishangaa ghafla Afisa huyo akimvamia na kuanza kumnyonya matiti kisha sehemu zake za siri na alishindwa kumdhibiti kutokana na kumzidi nguvu.

Kwa mujibu wa maelezo ya Racheal, anasema alilazimika kupiga picha (selfie) wakati tukio hilo likiendelea ili picha hiyo itumike kama ushahidi pindi atakapoenda kuripoti polisi

Tukio hilo limejiri ikiwa ni siku chache baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kukemea vitendo vya ngono kwa njia ya mdomo.

READ THE LATEST :

No comments :

Post a Comment